Safal Kiswahili Awards for African Literature 2024: Finalists Announced
The Safal Kiswahili Prize for African Literature has officially announced the shortlisted finalists for its 2024 edition. The prestigious literary award is sponsored by the…
UONGOZI Institute na Sokoine University of Agriculture
Kitabu hiki kinakusafirisha hadi kwenye eneo la ajali iliyokatisha uhai wa kiongozi huyu shupavu, na kinatoa maelezo ya mashuhuda wa ajali hiyo na hata uvumi uliosambaa baada ya kifo chake.
Xi Jinping
Kitabu hiki ni Tafsiri ya “Up & Out of Poverty” kilichoandikwa na Xi Jinping, Rais wa China. Kimejaa mipango, mbinu na mikakati iliyowezesha nchi ya China kuweza kuinua zaidi ya watu Mil 800 kutoka umaskini.
Ali Hassan Mwinyi
Mjue Mhe. Ali Hassan Mwinyi kutoka katika maneno yake mwenyewe soma Tawasifu yake aliyoipa jina ‘Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu’
Abdulrazak Gurnah
Translated by Ida Hadjivayanis
A Nobel Prize-winning novel
now available in Kiswahili
Peter Singer
Deogratius Simba (Mfasiri)
“Kama nisingekuwa na budi kuchagua kitabu kilichoniletea mabadiliko makubwa, basi ningesema ‘Ukombozi wa Wanyama’ cha Peter Singer.”
— Jane Goodall
Author Experience
Abdulrazak Gurnah was awarded the Nobel Prize in Literature in 2021. This is a Swahili translation of his 1994 novel, Paradise. The translator is Ida Hadjivayanis, Senior Lecturer in Swahili Studies, SOAS University of London.
The Safal Kiswahili Prize for African Literature has officially announced the shortlisted finalists for its 2024 edition. The prestigious literary award is sponsored by the…
Tuzo ya Kimataifa ya Kiswahili ya Safal (Safal Kiswahili Prize for African Literature) imezidi kutoa fursa kwa waandishi wa Kiswahili kutoka barani Afrika kung’ara. Mwaka…
WhatsApp us