Tafsiri ya Kiswahili ya kitabu cha Xi Jinping, Kupambana na Kuondokana na Umaskini, mkusanyiko wa maandiko muhimu aliyoyatoa kuanzia Septemba 1988 hadi Mei 1990 alipokuwa akifanya kazi Ningde, jimbo la Fujian, China. Kinajumuisha hotuba 29 na makala zinazozingatia jinsi maeneo ya mashariki ya Fujian yanavyoweza kufunguka, kupunguza umaskini, na kufanikiwa. Xi Jinping alianzisha mawazo mengi ya ubunifu, fikra, dhana, na mbinu mbalimbali zilizoshabihiana na hali ya eneo husika, wakati huo akiwaongoza watu wa mashariki mwa Fujian kuelekea ustawi. Baadhi ya mawazo na dhana zake maarufu ni pamoja na kuchukua maendeleo ya kiuchumi kama jukumu la msingi, kuendeleza roho ya uvumilivu, na wazo kwamba mtu lazima aondoe umaskini wa kiakili kwanza kabla ya kupunguza umaskini wa mali. Tafsiri ya Kiswahili inafungua majadiliano ya kimaendeleo kati ya mazingira ya Kichina na ya Kiafrika. Internationally distributed by African Books Collective.

Kupambana na Kuondokana na Umaskini
Author(s): China, Fujian, Kiswahili, maendeleo, Ningde, tafsiri, umaskini, Xi Jinping
Sh 25,000
Tafsiri ya Kiswahili ya kitabu cha Xi Jinping kuhusu kupambana na umaskini, kinachokusanya hotuba 29 na makala kutoka Ningde, Fujian (1988-1990). Inawasilisha mawazo ya Xi kuhusu maendeleo ya kiuchumi, roho ya uvumilivu, na kuondoa umaskini wa kiakili kabla ya wa mali.







Reviews
There are no reviews yet.