Mkuki Na Nyota Publishers

Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu (Paperback)

Author(s): Ali Hassan Mwinyi, Awamu ya Pili, Julius Nyerere, Kiswahili, Muungano, Tanzania, tawasifu, uchumi

Sh 55,000

Tawasifu ya Kiswahili ya Rais wa pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi (Mzee Rukhsa). Inaziba pengo baada ya wasifu wa Nyerere na tawasifu ya Mkapa. Inaelezea mageuzi ya kiuchumi, Maamuzi ya Zanzibar, na changamoto za muungano, migomo, na mahusiano ya Mwinyi na Mwalimu Nyerere. Toleo la karatasi laini.

Tawasifu ya Kiswahili ya Rais wa pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, iliyoitwa Mzee Rukhsa kuakisi uongozi wake aliyependa kutumia neno jepesi kama hilo kuashiria mambo makubwa aliyokuwa akiyafanya kufungua mipaka ya uchumi na siasa. Kitabu kinafuata wasifu wa Mwalimu Nyerere na tawasifu ya Benjamin Mkapa, kikiziba pengo la kumbukumbu ya awamu tatu za mwanzo za uongozi wa Tanzania huru. Mojawapo ya mambo yanayowekwa sawa humu ni kwamba si kweli Mwinyi alimkaidi Mwalimu kwa kuanzisha mageuzi ya kiuchumi; kwa heshima aliyokuwa nayo kwa Mwalimu asingeweza kufanya hivyo. Mwalimu alishajaribu kila njia, lakini uchumi wa Tanzania uliendelea kudorora; akampa rukhsa Mwinyi kujaribu maarifa mengine. Kitabu kinafafanua pia Maamuzi ya Zanzibar na wazo la awali lilokuwa la Mwalimu, na changamoto nyingi za urais wa Mwinyi, ikiwemo muundo wa muungano, migomo, uzawa, na chuki baina ya wafanyabiashara. Toleo la karatasi laini.

Weight 1 kg
Dimensions 150 × 230 mm
Binding

Pages

Year published

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu (Paperback)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…