Uzinduzi wa Kitabu Mara Yangu ya Kwanza cha Balozi Christopher Liundi Umefanyika Jijini Dar es Salaam.
Mkuki na Nyota Publishers kwa fahari kubwa imefanya uzinduzi wa kitabu, Mara Yangu ya Kwanza, kumbukumbu binafsi za Balozi Christopher Liundi, mwanadiplomasia na mtumishi wa…