Mkuki Na Nyota Publishers

Tisa Timilifu

Authors: Ndirangu Wachanga, Ngũgĩ wa Thiong'o

Sh 10,000

Ngũgĩ wa Thiong’o (Author)
Translated by Ndirangu Wachanga

Tisa Timilifu ni tafsiri ya utendi wa The Perfect Nine, ulioandikwa na mwandishi mashuhuri, Ngũgĩ wa Thiong’o. Utendi huu unahusu chimbuko la jamii la Agĩkũyũ (Wakikuyu). Kitovu cha jamii hii ni wazazi watangulizi; Gĩkũyũ na Mũmbi – na mabinti zao tisa. Maisha ya familia hii anzilishi yanachambua maudhui mengi kwa kina yakiwemo, ustahimilivu wa changamoto za kusaka maana ya maisha, maadili, uvumilivu na nguvu ya upendo wa kweli katika kufanikisha ndoto, ujasiri, matumaini na ushindi. Kutokana na uzuri wa mabinti hao pamoja na sifa zao za kipekee, mabinti hao waliwavutia vijana wengi, wakataka kuwaoa na kati ya hao wengi, vijana 99 wanapewa nafasi ila kwa kutimiza masharti magumu yanayopelekea baadhi yao kupoteza maisha. Je, vijana gani watafanikiwa kuwaoa mabinti hao  na kwa nini?

Dimensions 195 × 130 mm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tisa Timilifu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…