Mkuki Na Nyota Publishers

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini

Author(s): autobiography, classic, fasihi ya Kiswahili, Kiswahili, mshairi wa taifa, Shaaban Robert, ushairi, wasifu

Sh 8,000

Kazi ya kujieleza ya Shaaban Robert, iliyoandikwa kwa mchanganyiko wa ushairi na nathari. An autobiographical work in poetry and prose by Shaaban Robert, the celebrated Swahili national poet often described as the Shakespeare of Kiswahili. Republished after more than fifteen years of unavailability in Tanzania.

Kazi ya kujieleza ya mshairi Sheikh Shaaban Robert, iliyoandikwa kwa mchanganyiko wa ushairi na nathari. Shaaban Robert ni mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati. Kwa zaidi ya miaka kumi na tano, vitabu vyake havikupatikana Tanzania kwa sababu kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliacha kuvichapisha kutokana na hali mbaya ya uchumi. Athari ya kupotea kwa vitabu vyake ni kwamba Watanzania wengi, hasa wenye umri chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake. Kwa kuvichapisha tena vitabu vya Marehemu Sheikh Shaaban Robert, Watanzania, hasa vijana, wanakaribishwa tena kuvisoma. Mwandishi maarufu anajulikana kama ‘Shakespeare wa Kiswahili’.

Weight 0.3 kg
Dimensions 230 × 147 mm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini”

Your email address will not be published. Required fields are marked *