Mkuki Na Nyota Publishers

Alfu Lela U Lela 3

Author(s): Alfu Lela U Lela, Arabian Nights, classic literature, fasihi ya Kiswahili, Hassan Adam, Swahili translation, tafsiri, world literature in Swahili

Sh 11,000

Juzuu ya 3 katika mfululizo kamili wa juzuu tisa wa Alfu Lela U Lela. Tafsiri kamili ya kwanza ya hadithi maarufu za Uarabuni, Uajemi na Uhindi katika Kiswahili, iliyofanywa na mwanazuoni Mtanzania Hassan Adam. Inarejesha sehemu zilizokatwa katika tafsiri ya 1928. Volume 3 of Hassan Adam’s landmark unabridged Swahili Arabian Nights.

Hiki ni kitabu cha 3 katika mfululizo wa vitabu tisa vya tafsiri kamili ya Alfu Lela U Lela (au Siku Elfu Moja na Moja), mkusanyiko wa hadithi maarufu duniani kote zenye asili ya Uarabuni, Uajemi na Uhindi. Tafsiri hii imefanywa kutoka matoleo ya Kiingereza na Kijerumani ya Sir Richard Burton na washirika wake, na imerejesha sehemu zilizokatwa na wamisionari katika tafsiri ya kwanza ya Kiswahili ya mwaka 1928. Mfasiri ni Hassan Adam, mwanazuoni Mtanzania mwenye ujuzi wa Kiswahili, Kiingereza, Kijerumani na Kiarabu, aliyefundisha kwa miaka mingi katika Taasisi ya Lugha za Kiafrika Chuo Kikuu cha Cologne, Ujerumani. Mfululizo huu una juzuu tisa.

Book 3 in Hassan Adam’s landmark unabridged Swahili translation of the Arabian Nights. The nine-volume series restores passages omitted by missionary editors in the 1928 Swahili edition and is internationally distributed by African Books Collective.

Weight 0.4 kg
Dimensions 195 × 130 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Alfu Lela U Lela 3”

Your email address will not be published. Required fields are marked *