Toleo jipya la kazi ya kifasihi ya Shaaban Robert, iliyochapishwa mara ya kwanza mwaka 1980. Imeandikwa na mwandishi anayefahamika kama msahiri wa taifa wa lugha ya Kiswahili, kitabu hiki kinatumia hadithi ya malaika na majini na viumbe wa ajabu kama njia ya kufikisha maudhui mazito yahusuyo maisha ya kila siku: ardhi na mimea yake, machimbo na hazina zake, mifugo na mazao yake, biashara na faida yake, safari na manufaa yake, utajiri na umaskini, na mahusiano kati ya ndugu. Kazi hii hutumika sana katika kufundisha fasihi ya Kiswahili katika shule za sekondari. Inasambazwa kimataifa na African Books Collective.
A new edition of Shaaban Robert’s classic Swahili literary work, first published in 1980. Widely used in the teaching of Swahili literature at secondary school level. Internationally distributed by African Books Collective.





Reviews
There are no reviews yet.