Mkuki Na Nyota Publishers

John Thomas Mhina Sepeku

Author(s): Dar es Salaam, dini, Jaji Ramadhani, John Thomas Mhina Sepeku, Kanisa Anglikana, Tanzania, wasifu, Zanzibar

Sh 25,000

Wasifu mfupi wa Kiswahili wa Askofu Mkuu John Thomas Mhina Sepeku, Askofu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam na Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Tanzania. Imeandikwa na Jaji Ramadhani, mzaliwa wa Zanzibar aliyemfahamu Sepeku katika shughuli za kanisa. Pia inatoa historia fupi ya Kanisa Anglikana Tanzania.

Wasifu mfupi wa John Thomas Mhina Sepeku, aliyekuwa Askofu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, na Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa Anglikana Tanzania. Historia hii imetegemea sana maelezo kutoka kwa watu mbalimbali waliomjua katika uhai wake, pamoja na kumbukumbu kutoka katika nyaraka mbalimbali. Ni miaka zaidi ya mia moja tangu kuzaliwa kwa Askofu Mkuu Sepeku na miaka arobaini na tatu tangu afariki dunia. Ingawa makusudio ni historia ya Askofu Mkuu Sepeku, kitabu pia kinatoa historia fupi ya Kanisa Anglikana Tanzania, baadhi ya shule zake na vyuo vyake, na watu wengine wa kikanisa. Mwandishi Jaji Ramadhani, mzaliwa wa Kiungani Unguja Zanzibar, alikuwa Katibu wa Halmashauri ya Mtaa wa Mtakatifu Albano wakati Sepeku akiwa Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam.

Weight 0.5 kg
Dimensions 230 × 150 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “John Thomas Mhina Sepeku”

Your email address will not be published. Required fields are marked *