Mwongozo wa Sheikh Shaaban Robert kwa waandishi na washairi kuhusu utungaji wa mashairi na masharti ya uandishi mzuri. Shaaban Robert ni mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati. Kwa zaidi ya miaka kumi na tano, vitabu vyake havikupatikana Tanzania kwa sababu kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliacha kuvichapisha kutokana na hali mbaya ya uchumi. Athari ya kupotea kwa vitabu vyake ni kwamba Watanzania wengi, hasa wenye umri chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake. Kwa kuvichapisha tena vitabu vya Marehemu Sheikh Shaaban Robert, Watanzania, hasa vijana, wanakaribishwa tena kuvisoma, kuburudishwa, na kufundishwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.

Kielezo Cha Fasili
Author(s): classic, fasihi, Kiswahili, mshairi wa taifa, mwongozo wa uandishi, Shaaban Robert, urithi wa kitamaduni, ushairi
Sh 8,000
Mwongozo wa Shaaban Robert, mshairi wa taifa wa Kiswahili, kuhusu utungaji wa mashairi na masharti ya uandishi mzuri. Sehemu ya jitihada ya kuvichapisha tena vitabu vya mwandishi huyu maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili, baada ya zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vyake kukosekana Tanzania.




Reviews
There are no reviews yet.