Diwani hii ni mkusanyiko wa mashairi ya washindi wa kwanza wa Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika kwa miaka tofauti. Ni tunu ya kipekee inayodhihirisha ubunifu, umahiri wa lugha na utajiri wa Fasihi ya Kiswahili kupitia maudhui yenye kina na mitindo tofauti ya ushairi. Mashairi yake yanatafakuri zenye maudhui mazuri yaliyonogeshwa kwa ladha nzuri ya lugha ya Kiswahili, yakimulika na kutoa mwangaza wa yale tunayoyaishi. Diwani hii ni chachu kwa waandishi, wasomaji na wapenda fasihi kuendelea kuithamini, kuikuza na kuirithisha Fasihi ya Kiswahili kwa vizazi vijavyo.

Tunu Mpya: Diwani Kutoka kwa Washindi wa Kwanza
Author(s): Ahmed Hussein Ahmed, Bashir Abdallah, Dotto Rangimoto, Fatuma Salim, Jacob Ngumbau, Moh'd Hamis Songoro, Mohamed Ghassani, Mohamed Omar Juma, Salum Makamba
Sh 10,000
| Weight | 0.2 kg |
|---|---|
| Dimensions | 195 × 130 × 8 mm |




Reviews
There are no reviews yet.