Mkuki Na Nyota Publishers

Nahau za Kiswahili 1 Maana na Matumizi

Authors: Abdallah J. Saffari

Sh 9,000

Abdallah J. Saffari

Kitabu hiki kinakusudiwa kwa wapenzi wote wa Kiswahili, hasa wanafunzi. Kina jumla ya nahau mia moja na kumi za lugha ya Kiswahili. Pamoja na hayo, kuna michoro kwa ajili ya baadhi ya nahau. Michoro hii ni kukufanya msomaji kupata tabasamu unaposoma nahau hizi.