Ili kuhimili mabadiliko yanayoletwa na mchakato wa utandawazi, watu binafsi na jamii kwa ujumla hawana budi kufahamu na kutumia kanuni bora za kuendesha miradi ili kuongeza uzalishaji na tija. Kitabu hiki, kimeandikwa kwa makusudi ya kuwasaidia vijana na Watanzania wote kwa ujumla kupata maarifa ya namna bora za kuanzisha miradi endelevu. Ni kitabu ambacho kitawafaa watendaji katika ngazi mbalimbali za Serikali kuanzia vijiijini hadi taifani. Bila shaka, kila mmoja atanufaika na maarifa yaliyomo humu, hasa, kwa wale wanaokusudia kuanzisha miradi yao wenyewe na wale wanaosimamia miradi ya jamii.
Misingi Bora ya Kuandaa Miradi wa Mbalimbali
Sh 6,000
L. J. Mshana
Weight | 0.2 kg |
---|---|
Binding |
Reviews
There are no reviews yet.