Mkuki Na Nyota Publishers

Methali za Kiswahili Kitabu Cha 2

Author(s): Abdalla Baruwa, Kiswahili, kitabu cha shule, lugha, Maryam Abdulhamid, methali, mfululizo, sekondari

Sh 6,000

Kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vitatu vya Methali za Kiswahili cha Abdalla Baruwa na Maryam Abdulhamid. Kina methali 100 mpya zilizopangwa kiabjadi, zikiwa na maelezo ya maana, hekima, na matumizi. Inaendeleza jitihada ya kitabu cha kwanza kwa wanafunzi wa sekondari na walimu wa Kiswahili.

Kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vitatu vya Methali za Kiswahili, kilichoandikwa na Abdalla Baruwa na Maryam Abdulhamid. Kina methali mia moja za Kiswahili. Methali zimepangwa kiabjadi, na kila methali imeelezewa maana yake, hekima yake, na jinsi inavyotumiwa. Ni kitabu muhimu kwa kila mwalimu na mwanafunzi wa Kiswahili, na kila aipendaye lugha hii. Kinafaa kwa wanafunzi wa shule za sekondari, walimu wa Kiswahili, na wasomaji wote wanaotaka kuongeza ujuzi wao wa methali. Kitabu hiki kinaendeleza jitihada ya kitabu cha kwanza kwa kuongeza methali mpya na kufungua mwelewa zaidi wa hekima ya Kiswahili iliyomo ndani ya methali. Methali ni zana muhimu katika uandishi, mazungumzo rasmi, na fasihi ya Kiswahili.

Weight 0.1 kg
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Methali za Kiswahili Kitabu Cha 2”

Your email address will not be published. Required fields are marked *