Riwaya ya kusisimua ya Kiswahili ya A. E. Musiba kutoka mfululizo wa Willy Gamba, mpelelezi maarufu wa Afrika. Ni nani hasa anayewaua viongozi wa wapigania uhuru? Kwa nini wengi wa viongozi hawa wameuawa jijini Kinshasa kuliko mahali pengine popote Afrika? Ili kukomesha vitendo hivi vya kijahili, Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika (OAU) unakata shauri kuwasaka wauwaji hawa na kuwafagilia mbali. Willy Gamba anachaguliwa kuongoza kikosi cha wapelelezi wa Kiafrika kuwasaka. Kinshasa, jiji linalosifika kwa starehe zake, linageuka uwanja wa mapambano kati ya vijana wapiganaji shupavu wakiongozwa na Willy Gamba na wapinga mapinduzi wakiongozwa na Kaburu Pierre Simonard. Willy pamoja na kikosi chake wanalivamia jiji kuhakikisha mauaji yanakomeshwa.

Kikosi cha Kisasi
Author(s): A. E. Musiba, Afrika, Kinshasa, Kiswahili, mfululizo, OAU, riwaya ya kusisimua, Willy Gamba
Sh 10,000
Riwaya ya kusisimua ya Kiswahili ya A. E. Musiba kutoka mfululizo wa Willy Gamba. OAU inamwagiza mpelelezi nguli Willy Gamba kuongoza kikosi cha kuwasaka wauaji wa viongozi wa wapigania uhuru jijini Kinshasa. Patashika inapoanza, jiji la starehe linageuka uwanja wa mapambano.
| Weight | 0.4 kg |
|---|---|
| Dimensions | 195 × 130 mm |
| Binding | |
| Pages | |
| Year published |




Reviews
There are no reviews yet.