Mkuki Na Nyota Publishers

Mbinu za Kuwapata Wateja na Kubaki Nao

Author(s): biashara, Kenya, Kiswahili, kitabu cha msaada, mauzo, Murori Kiunga, ujasiriamali, wateja

Sh 18,000

Kitabu cha Kiswahili cha Murori Kiunga, mjasiriamali na mkufunzi kutoka Nairobi. Mbinu za kupata wateja wapya, kuwabakiza wa zamani, kutumia wateja walioridhishwa kama matangazo, na kuwafanya wenye malalamiko kuridhika. Kitabu cha msaada kwa wafanyabiashara na watu wa mauzo katika mazingira ya Kiafrika.

Kitabu cha Kiswahili cha mbinu za mauzo kilichoandikwa na Murori Kiunga. Watu wa mauzo waliopata mafanikio hawafanyi vitu tofauti; wanafanya vitu kwa namna tofauti. Umewahi kujiuliza ni kwa nini baadhi ya biashara au watu wa mauzo huweza kujizolea wateja wapya mwezi hata mwezi huku wakiendelea kuwa na wateja wao wa zamani, huku wengine wanafunga biashara kwa kushindwa kupata wateja wa kutosha? Kitabu hiki kinafundisha: uwezo wa kupata wateja wapya na kubakiza wale wa zamani; kutengeneza mazingira yatakayomfanya mteja arudi kununua bidhaa au huduma tena na tena; kutumia wateja walioridhishwa kukutangaza; na kuwafanya wateja wenye malalamiko kupata furaha na kuridhika. Murori Kiunga ni mjasiriamali, mkufunzi, na mwandishi mahiri kutoka Nairobi, Kenya, aliyeandika pia The Art of Entrepreneurship na The Winning Character.

Weight 0.4 kg
Dimensions 230 × 150 mm
Binding

Pages

Year published

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mbinu za Kuwapata Wateja na Kubaki Nao”

Your email address will not be published. Required fields are marked *