Riwaya ya Kiswahili iliyoandikwa na Halfani Sudy, mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Safal-Cornell ya Fasihi ya Afrika ya 2022 katika kipengele cha riwaya. Wakina Daniel waliitikia kwa kutikisa kichwa. Rais Mark aliwaangalia Joash Mtoto na Aneth waliokaa katika sofa moja, alitabasamu, kisha akasema huku akimgeukia Daniel: Daniel, umefika wakati sahihi wa wewe nawe kuoa. Nipo tayari kuwa baba yako katika ndoa yako. Chagua tu, unamuoa nani kati ya Hannan Halfani au Inspekta Jasmin? Kuwa Rais akiwa baba yako katika ndoa yako ina maana Daniel atakuwa Mtoto wa Rais. Halfani Sudy alizaliwa 1989 mkoani Lindi, wilaya ya Kilwa. Tangu 2014 alipomaliza elimu yake ya chuo kikuu, amefanikiwa kuchapisha vitabu vitano, ikiwemo Penzi Chungu, Farida, Kipepeo Mwekundu, Kanda ya Siri, na Msako Hatari. Kwa sasa ni mkuu wa idara ya ustawi wa jamii katika Chuo cha MGM Health and Training Institute, Iringa.

Kirusi Kipya
Author(s): Daniel, Halfani Sudy, Hannan, Kilwa, Kiswahili, Lindi, riwaya, Safal-Cornell 2022
Sh 20,000
Riwaya ya Kiswahili ya Halfani Sudy, mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Safal-Cornell 2022 katika kipengele cha riwaya. Daniel anachagua kati ya Hannan Halfani na Inspekta Jasmin, akiwa na Rais Mark kama baba katika ndoa yake. Mwandishi kutoka Kilwa, Lindi, mwenye vitabu vitano tayari.
| Dimensions | 195 × 130 mm |
|---|---|
| Binding |
You may also like…
-

The African Epic Controversy
Sh 45,000




Reviews
There are no reviews yet.