Mkuki Na Nyota Publishers

Kaona Njigi Kadhani Njege

Authors: Laurent R. W. Kamugisha

Sh 5,000

Laurent R. W. Kamugisha

SKU: 9987686176 Categories: , , , Tag:

Bahati inapojitokeza mara nyingi haijulikani inakotoka. Ishara zake zinaweza kuwa nyingi au chache. Katika hadithi hii tamu, binti mmoja anapata bahati kwa kumfuata ndege aina ya Yangeyange anayemvuta kwa kumdondoshea shanga nzuri sana. Soma ugundue siri ya ndege na shanga nzuri.