Tafsiri ya kipekee ya Kiswahili ya kitabu classic cha Plato, The Republic, iliyofanywa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tafsiri hii inachapishwa kwa mara ya kwanza miaka 25 baada ya kifo cha Nyerere, na ni kitabu chake cha mwisho, urithi wake wa mawazo kwa vizazi vijavyo. Mwalimu anawasilisha mawazo ya Plato kuhusu jamii bora na haki, huku akiakisi maono yake binafsi kuhusu uongozi na mustakabali wa taifa. Sokrates na wenzake wanachambua haki, mifumo ya utawala, na nafasi ya elimu katika kujenga jamii iliyo bora. Kwa kutumia hadithi ya jamii inayotawaliwa na viongozi wenye hekima, Plato anasisitiza umuhimu wa maarifa, maadili, na usawa. Tafsiri hii inachochea mjadala wa haki, utawala bora, na maadili katika dunia ya leo, ikiwa mwaliko wa kuchunguza upya mifumo yetu ya kijamii na kisiasa. Urithi wa kipekee wa Mwalimu Nyerere: Plato katika Kiswahili chake.





Jamhuri ya Plato: Tafsiri ya Julius Nyerere
Author(s): falsafa, Julius Kambarage Nyerere, Kiswahili, Plato, Sokrates, tafsiri, The Republic, urithi wa Nyerere
Sh 60,000
Tafsiri ya Kiswahili ya The Republic ya Plato, iliyofanywa na Mwalimu Julius Nyerere na kuchapishwa miaka 25 baada ya kifo chake. Kitabu cha mwisho cha Mwalimu, urithi wake wa mawazo kwa vizazi vijavyo. Sokrates na wenzake wanachambua haki, utawala, na elimu katika jamii bora.
ISBN: 9789987085781
Category: Philosophy & Ethics
Tags: falsafa, Julius Kambarage Nyerere, Kiswahili, Plato, Sokrates, tafsiri, The Republic, urithi wa Nyerere
| Binding |
|---|
Be the first to review “Jamhuri ya Plato: Tafsiri ya Julius Nyerere”Cancel Reply
Related products
-

UPEPO, MCHANGA, ANGA: Hadithi Tatu
Sh 12,000 -

Alfu Lela U Lela 9
Sh 11,000 -

Jini na Mayai ya Ajabu
Sh 5,000 -

Dhulma
Sh 40,000





Reviews
There are no reviews yet.