Mkuki Na Nyota Publishers

N’na Kwetu

Sh 15,000

Mohammed K. Ghassani

Tungo nyingi zilizomo humu ziliandikwa baina yar obo ya mwisho yam waka 2010 na nusu ua mwanzo yam waka 2015. Hii ni miaka mitano ya mwanzo ya mshairi kuhamia na kuishi nchini Ujerumani- mbali na nyumbani kwao, Zanzibar. Ndani yake, kwa hivyo, muna muakisiko wa kihisia za mgeni ugenini, akitayamani mengi mazuri ya kwao na akijutia kuyaacha nyuma yake. Ukweli ni kuwa wakati mtu anapoishi ugenini, ndipo hasa ile thamani ya kwao anapoitambua na kutaka kujitambulisha nayo zaidi na zaidi. Ndipo hisia za kutambuwa kuwa ana kwao zinapopanda kiwango cha juu. Kutoka kipembe cha mbali, Mohammed Ghassani anakuangalia kwao na kuyaona mambo ambayo alipojuwamo ndani yake, alikuwa hata hajui kama yapo. Chembilecho Wajapani: “Samaki hajijui kuwa amerowa!” Na sababu ua kutokujijuwa huko, kwa hakika, ni kwa kuwa yeye mwenyewe anaishi ndani yam aji muda wote.

Kuhusu Mwandishi

Mohammed Ghassani alizaliwa kisiwani mwaka 1977, ambako alikulia na kusomea hadi alipohamia kisiwani Unguja kwa ajili ya masomo na Maisha mwaka 1996 na mwaka 2010 akahamia nchini Ujerumani, ambako ndiko anakoishi na kufanya kazi.

Dimensions 195 × 130 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “N’na Kwetu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…