Mkuki Na Nyota Publishers

Queen of Keepy Uppy – Mkali wa Dana Dana

Author(s): bilingual, English, football, Kiduchu, Kiswahili, mathematics, negative numbers, Ubongo Kids

Sh 7,000

Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili na Kiingereza) kutoka mfululizo wa Ubongo Kids. Kiduchu anatumia hesabu za hasi na chanya kupata mpira wake kutoka kwa Mzee Kigo. A bilingual Ubongo Kids picture book teaching positive and negative numbers through girls’ football and a neighbourly dispute.

Kiduchu anaonyesha kuwa wasichana wanaweza kucheza mpira wa miguu kama wanavyoweza kucheza wavulana. Lakini wakati mpira ulipodondokea nyumbani kwa Mzee Kigo, ikabidi Kiduchu afanye hesabu za hasi na chanya ili aweze kupata mpira. Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.

Kiduchu proves that girls can play football just as well as boys. But when the ball lands in Mzee Kigo’s yard, she has to use her math skills to add positive and negative numbers if she wants to get the ball back. A bilingual English and Swahili picture book from the Ubongo Kids series, adapted from the popular Tanzanian television programme. Ubongo Kids books help children learn and love mathematics and science through entertaining stories and fun comprehension activities.

Weight 0.2 kg
Dimensions 203 × 254 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Queen of Keepy Uppy – Mkali wa Dana Dana”

Your email address will not be published. Required fields are marked *