Mkuki Na Nyota Publishers

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake

Author(s): F.X. Lwamgira, historia ya Kiziba, historia ya Tanzania, historia ya Wahaya, Kagera, oral history, pre-colonial history, tafsiri

Sh 45,000

Historia ya Ufalme wa Kiziba iliyokusanywa na Mfalme Mutahangarwa (aliyetawala 1903-1916) mwanzoni mwa karne ya ishirini na kuandikwa na F.X. Lwamgira, imetafsiriwa kutoka Kihaya kwenda Kiswahili. Historia ya kaskazini magharibi mwa Tanzania na kusini magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni. Imetafsiriwa na Galasius B. Kamanzi na Profesa Peter R. Schmidt.

Tafsiri ya Kiswahili ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu: mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903-1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa masimulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme, na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo minne baadaye, matokeo ya utafiti huo yalipigwa chapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambacho kilibaki bila kujulikana. Tafsiri hii inafanya historia ya kaskazini magharibi mwa Tanzania na kusini magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie wasomi wengi kwa mara ya kwanza. Imetafsiriwa na Galasius B. Kamanzi na Profesa Peter R. Schmidt. Inasambazwa kimataifa na African Books Collective.

Weight 0.13 kg
Dimensions 210 × 130 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Historia ya Kiziba na Wafalme Wake”

Your email address will not be published. Required fields are marked *