Kitabu cha historia kwa Kiswahili kilichoandikwa na Balozi Mzee Job Lusinde, miongoni mwa viongozi wa kisiasa waliotoa mchango mkubwa katika harakati za ujenzi wa taifa la Tanzania. Utangulizi na Rais wa zamani John Pombe Magufuli, ambaye anapongeza Mwandishi kwa kuwakumbusha viongozi na Watanzania wajibu wao wa kujifunza Historia ya Taifa na mchango wa waasisi wake kupitia Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru. Lusinde anaeleza kuwa maudhui ya Mwenge wa Uhuru ni manufaa kwa taifa ambalo watu wake wamedhamiria kwa dhati kudumisha uhuru, umoja, haki, usawa, upendo, na heshima kwa watu wote. Balozi Lusinde amewahi kuwa Waziri katika baraza la Mawaziri la kwanza mara baada ya Uhuru wa Tanganyika, Mbunge, na Mwenyekiti wa Bodi katika mashirika mbalimbali ya umma likiwemo Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru
Author(s): historia, Job M. Lusinde, John Magufuli, Kiswahili, Mwenge wa Uhuru, Tanzania, Uhuru, waasisi
Sh 30,000
Kitabu cha historia cha Kiswahili cha Balozi Mzee Job Lusinde, mmoja wa waasisi wa Tanzania, kuhusu Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru. Utangulizi na Rais wa zamani John Pombe Magufuli. Ukumbusho wa wajibu wa Watanzania kuenzi mchango wa waasisi wa taifa.




Reviews
There are no reviews yet.