Mkuki Na Nyota Publishers

Zimwi la Mrima

Author(s): Fatma S. Rawah, hadithi za watoto, Kiswahili, Mrima, picha, pwani, watoto, zimwi

Sh 5,000

Hadithi hii inamfuata Mayunga, kijana aliyedharauliwa na jamii. Kwa kutumia ujasiri, busara na ubinifu wake, anafanikiwa kukubaliana na Zimwi liliokua likiwateka wasichana. Baada ya kuwaokoa, anapata heshima kubwa kutoka kwa jamii na mfalme.

Hadithi hii inamhusu kijana Mayunga aliyechukuliwa na jamii alimokuwa akiishi kama ni punguani. Lakini ujasiri na ubunifu wake unamwezesha kuliua Zimwi liliokuwa likiwateka wasichana na hatimaye kuwaokoa. Mfalme anaamua kumwoza binti yake; sasa Mayunga anakuwa sio punguani bali mtu mkubwa na maarufu. Fuatilia kisa chenyewe kwa makini kitabuni.

Weight 0.4 kg
Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Zimwi la Mrima”

Your email address will not be published. Required fields are marked *