Mkuki Na Nyota Publishers

Popo, Ndege na Panya

Author(s): hadithi za watoto, Hamis Akida, Kiswahili, kujitambua, ndege, panya, picha, popo, watoto

Sh 5,000

Kitabu cha picha cha watoto wa Kiswahili cha Hamis Akida. Popo anazunguka akitafuta jamaa, akikataliwa na panya, ndege, na binadamu, kisha anagundua thamani ya kuwa yeye mwenyewe. Hadithi fupi yenye somo kuhusu kujitambua na kukubali asili, kwa watoto wa rika la chini.

Hadithi ya watoto ya Kiswahili iliyoandikwa na Hamis Akida. Popo alikuwa akirandaranda na kuzurura akitafuta familia ambayo ingeweza kumpokea na kumpenda. Kwanza alikwenda kwa panya lakini panya walimkana. Halafu alikwenda kwa ndege, nao pia wakamkataa. Baada ya hapo alikwenda kwa binadamu, na huyo ndiyo kabisa, akamtimua. Lakini mambo yalikuja yakageuka. Waliomkataa wakataka sasa awe jamaa yao. Soma ugundue hawa ni nani. Katika kisa hiki cha kuhuzunisha na kufurahisha, Popo aliamua hatimaye kuwa, kumbe ulimwenguni kuna vitu vingine vya maana vya kuwaza kuliko kuwa ndege au panya. Kitabu cha picha kinachowafundisha watoto kuhusu kujitambua, utambulisho, na thamani ya kukubali asili yako.

Weight 0.1 kg
Dimensions 100 × 100 mm
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Popo, Ndege na Panya”

Your email address will not be published. Required fields are marked *