Timu mbili za mpira wa miguu kutoka Shule mbili za Msingi, zinachuana kuwania kombe la ushindi. Je, ni mchezaji gani ataifanya timu yake kupata ushindi?
Kuhusu Mwandishi
Blandina Isabella Lucas ni Mwandishi, Mhariri na Mfasiri. Anauzoefu wa zaidi ya miaka 15 kwenye tasnia ya uchapishaji wa vitabu vya kielimu, hadithi za watoto na miongozo ya walimu. Mwandishi amefanya kazi na makampuni mbalimbali ya uchapishaji. Tangu mwaka 2017 hadi sasa, Mwandishi anafanya kazi ya kuhariri, kufasiri, kusimamia uandishi na uchapishaji wa machapisho mbalimbali ikiwemo hadithi za watoto.
Reviews
There are no reviews yet.