Wakazi wadogo wa msituni waliamua kutafuta mahali ambapo wangeishi kwa usalama. Nyuki, vipepeo, chunguchungu, vimetameta, nyenje, panzi, konokono na wengine walitafuta mahali hapo wakapapata, wakahamia. Nyenji alikuwa hodari wa kuimba na alipendwa sana na wenzake ila Meya ambaye alimwonea nyenje wivu. Meya naye alitaka kuwa mwanamuziki lakini sauti yake ilikuwa mbaya na hakuweza kushindana na nyenje. (…)
Wimbo wa Nyenje
Sh 5,000
Jorge Ornelia Cardoso (Author) and Mzee Hamis Akida (Translator)
Reviews
There are no reviews yet.