Kitabu hiki kina mkusanyiko wa hadithi za wanyama zenye kutoa mafundisho yenye adili. Ni kitabu kitakachowafaa watu wa rika zote, kuanzia vijana mpaka wazee. Ama kwa hakika kila atayeogelea kwenye hadithi ataburudika, atafarijika, atakosoleka na kadha wa kadha. Soma.

Weight | 0.1 kg |
---|---|
Binding |
Reviews
There are no reviews yet.