Ni hekaheka za sherehe ya harusi. Watu wazima wanakimbia na kuhangaikia shughuli hiyo. Wanatoa nafasi ndogo kwa watoto. Hawawasikilizi. Hawawajali. Msichana shujaa, Fatuma, anatumia mbuny ya juu kuwakumbusha watu wazima kuwa hata wao, yaani watot, wapo pia. Alifanyaje? soma ugundue.

Weight | 0.1 kg |
---|---|
Dimensions | 100 × 100 mm |
Binding |
Reviews
There are no reviews yet.