Mkuki Na Nyota Publishers

Nyani Mtu

Authors: Rashid Mohamed Zahor

Sh 5,000

Rashid Mohamed Zahor

SKU: 9987686931 Categories: , , , Tag:

Nyani Mtu ni kisa cha kusisimua cha Nyani mmoja aliyebadilika na kuwa mwanamke mzuri. Anaolewa na binadamu na kuzaa watoto. Baadaye, anaanza kuota manyoya, mkia, kubadilika sura na hatimaye kuirudia asili yake ya Nyani. Kwani mambo yalikuwaje? Soma ili ugundue mkasa mzima.