Mkuki Na Nyota Publishers

Lango la Ajabu

Authors: Deogratias M. Simba

Sh 5,000

Deogratias M. Simba

Maisha ni mfululizo wa mapambano. Ukweli huu unadhihirishwa na hadithi hii tamu ambapo vijana wawili, Mosi na Sankuta, wanaingia katika kinyang’anyiro cha kugombea Ufalme, kielelezo cha juu kabisa cha mafanikio. Ili mtu apate ushindi, anahitaji: ujasiri, ushupavu, uvumilivu, subira, hekima, akili, na ujanja. Nani atashinda kati ya vijana hawa? Fuatilia