“Kupambana na Kuondokana na Umaskini” ni mkusanyiko wa maandiko muhimu ya Xi Jinping aliyoyatoa Septemba 1988 hadi Mei 1990 alipokuwa akifanya kazi Ningde.
Inajumuisha hotuba 29 na makala zinazozingatia jinsi maeneo ya mashariki ya Fujian yanavyoweza kufunguka, kupunguza umaskini, na kufanikiwa. Xi Jinping alianzisha mawazo mengi ya ubunifu, fikra, dhana, na mbinu mbalimbali zilizoshabihiana na hali ya eneo husika, wakati huo akiwaongoza watu wa mashariki mwa Fujian kuelekea ustawi. Baadhi ya mawazo na dhana zake maarufu ni pamoja na kuchukua maendeleo ya kiuchumi kama jukumu la msingi, kuendeleza roho ya uvumilivu, na wazo kwamba mtu lazima aondoe umaskini wa kiakili kwanza kabla ya kupunguza umaskini wa mali.
International availability:
This book is internationally distributed by African Books Collective
Reviews
There are no reviews yet.