Kitabu cha lugha mbili (Kiswahili na Kiingereza) cha picha za John Kiyaya, mpiga picha Mtanzania anayeishi Sumbawanga (alizaliwa 1970 katika kijiji cha Kisanga, Sumbawanga). Hadithi yake, katika kufuata shauku yake ya kupiga picha, ilijulikana tu kwa wahusika wake (wafanyakazi, wavuvi, na wakulima wa eneo la Ziwa Tanganyika), kabla ya kumpa sifa kutoka mizunguko ya kimataifa ya picha, kwanza Ulaya kisha Marekani. Alichaguliwa katika Photographic Research Centre, Boston University, kama mshindi wa kwanza wa tuzo ya Leopold Godowsky Jr. Colour Photography Award, akishindana na wapiga picha kutoka Misri, Ghana, Kenya, Madagaska, Mali, Msumbiji, Namibia, Nigeria, Senegal, Tanzania, na Zimbabwe.
A bilingual photography book featuring John Kiyaya, Sumbawanga-based, born 1970 in Kisanga Village. His pursuit of photography among the workers, fishermen, and peasants of the Lake Tanganyika region brought him acclaim in Europe and the U.S.A., culminating in winning the Leopold Godowsky Jr. Colour Photography Award at Boston University’s Photographic Research Centre. The book includes a long publisher interview, essays, and a selection of his photographs.






Reviews
There are no reviews yet.