Mkuki Na Nyota Publishers

Hadithi ya Morile

Authors: Freda Mariki

Sh 6,000

Freda Mariki

SKU: 998741706X-2 Categories: , , , Tag:

Hadithi ya mapokeo ya Kabila la Wachagga. Inasimulia jinsi kijana Morile alivyojipatia moto kutokana na kiazi. Baadaye alivyokosana na wazazi wake na hatimaye kupaa juu ambako alipata utajiri mkubwa kutokana na maarifa yake ya moto. Je, alirudi vipi duniani? Alipokewa vipi na wazazi wake? Soma upate kufahamu na kujifunza.