This book covers all the requirements of the 2007 Secondary Schools Chemistry Syllabus. IMPORTANT FEATURES OF THIS BOOK: Chapter introduction and highlighted key terms to guide the student through each chapter. Content in English and Swahili on opposite pages; English, because it is the official language of instruction and Kiswahili to ensure that students understand all ideas and concepts in the book using the language that they best understand. It also helps students to improve their command of the English language. Pioneering use of Kiswahili in the scientific world. Use of simple language and helpful diagrams. Real life examples that allow students to relate chemistry to the world around them. End of chapter questions to test understanding and reinforce learning. Glossary of most important terms. Descriptions of do-it-yourself kits with which all the suggested experiments can be carried out. A companion Teacher’s Guide that gives worked solutions to all questions set in the textbook and a CD with videos that describe key experiments and provide guidelines for efficient teaching and learning using this textbook. Kitabu hiki kinakidhi mahitaji yote ya Muhtasari wa Kemia kwa Shule za Sekondari wa mwaka 2007. SIFA KUU ZA KITABU HIKI: Utangulizi kwa kila sura sanjari na ufafanuzi wa msamiati muhimu ili kumsaidi mwanafunzi kuelewa vema kila sura. Matumizi ya lugha mbili, Kiingereza na Kiswahili; Kiingereza ili kuzingatia sera ya lugha kwa elimu ya sekondari, na Kiswahili ili kumwezesha kuelewa dhana zote katika lugha zote anayoimudu vyema. Vilevile itamsaidia mwanafunzi kuongeza uelewa wake wa Kiingereza. Kukuza matumizi ya Kiswahili katika ulimwengu wa sayansi. Lugha nyepesi na michoro mingi ili kurahisisha uelewa wa mafunzo. Mifano kutoka katika maisha halisi inayomsaidia mwanafunzi kuhusisha elimu ya Kemia na mazingira ya kawaida. Maswali kila mwisho wa sura ya kuimarisha stadi mwanafunzi alizojifunza. Faharisi mwishoni mwa kitabu ya msamiati muhimu uliotumika. Mafumzo ya kutengeneza vifaa rahisi na salama vinavyoweza kutumika kufanya kila jaribio lililomo Kwenye kitabu. Kiongozi cha Mwalimu kinachotoa majibu kamili ya maswali yaliyoulizwa katika kitabu cha mwanafunzi kikiambatana na CD yenye video zinazofafanua majaribio muhimu pamoja na vidokezo vya kuongeza ufanisi katika dufundisha na kujifunza kwa kutumia kitabu cha mwanafunzi.
Furahia Kemia/ Enjoy Chemistry 1 – Teacher’s Guide
Sh 7,000
Weight | 0.1 kg |
---|---|
Binding |
Reviews
There are no reviews yet.