Kitabu hiki kinakidhi mahitaji yote ya Muhtasari wa Kemia kwa Shule za Sekondari wa mwaka 2007. Sifa kuu: utangulizi na msamiati muhimu kwa kila sura; maudhui kwa Kiingereza na Kiswahili kwenye kurasa zinazoelekeana; lugha rahisi na michoro mingi; mifano kutoka maisha halisi; maswali ya kila sura; faharisi ya msamiati muhimu; mafumzo ya kutengeneza vifaa rahisi vya kufanya majaribio; na CD yenye video za majaribio muhimu.
A bilingual English-Swahili chemistry Teacher’s Guide for the first year of Tanzanian secondary school, companion to the Student’s Guide and fully aligned with the 2007 Secondary Schools Chemistry Syllabus. Features content on facing pages in English and Swahili, worked solutions to all student questions, and an accompanying CD with experiment videos and teaching guidance.

Furahia Kemia/ Enjoy Chemistry 1 – Teacher’s Guide
Author(s): bilingual textbook, chemistry textbook, includes CD, kemia, science education, secondary school chemistry, Tanzanian education, teacher's guide
Sh 7,000
Kiongozi cha Mwalimu cha Kemia Kidato cha 1 kwa lugha mbili, kulingana na Muhtasari wa Kemia wa mwaka 2007. Kinakuja na CD yenye video za majaribio. Bilingual English-Swahili Teacher’s Guide for Form 1 chemistry, with content on facing pages, worked solutions, and an accompanying CD of experiment videos. Companion volume to the Student’s Guide.
| Weight | 0.1 kg |
|---|---|
| Binding |



Reviews
There are no reviews yet.