Jifunze kuhusu rangi nzuri za upinde wa mvua kutoka kwa Akili na marafiki zake. Furahia kujifunza kwa kupitia vitabu vya Akili and Me, kwa Kiswahili na Kiingereza. Msomee mwanao ili umsaidie kujifunza kusoma na furahia mazoezi ya kujifunza zaidi.
Learn about the beautiful colours of the rainbow with Akili and her friends. A bilingual English-Swahili picture book from the Akili and Me series. Designed as a fun early-learning resource, the book encourages children to read along in either English or Kiswahili, with additional activities to reinforce learning and comprehension. Parents and caregivers are encouraged to read aloud to their children to support the development of early literacy skills. Part of a wider series based on the popular television programme Akili and Me.





Reviews
There are no reviews yet.