Mkuki Na Nyota Publishers

Barua Ndefu Kama Hii

Author(s): African classic, African women's writing, fasihi ya Kiswahili, Mariama Bâ, NOMA Award, Senegal, So Long a Letter, Swahili translation

Sh 7,000

Tafsiri ya Kiswahili ya riwaya maarufu ya Mariama Bâ ya Senegali, mshindi wa kwanza wa tuzo ya NOMA ya Uchapishaji Afrika mwaka 1980 na iliyotafsiriwa katika lugha 18 duniani. Ramatoulaye anasahauliwa baada ya mumewe Modou kumuoa mke mchanga, kisha anafariki. A Swahili translation of the African classic So Long a Letter.

Tafsiri ya Kiswahili ya riwaya ya Mariama Bâ, Une si longue lettre (Barua Ndefu Hivyo), mshindi wa kwanza wa tuzo ya NOMA ya Uchapishaji Afrika mwaka 1980. Ramatoulaye, mwanamke Msenegali, ameolewa kwa miaka mingi na Modou, mtu mzito serikalini, anayeoa mke mwingine mchanga wa rika la binti yake. Ramatoulaye anasahauliwa. Modou anapofariki katika ajali ya gari, maswali ya mirathi na wajibu kwa wafiwa yanajitokeza. Mariama Bâ, mwalimu, mwandishi na mpigania haki za wanawake wa Senegali, alikuwa miongoni mwa wa kwanza kueleza hali duni ya wanawake katika jamii ya Kiafrika. Riwaya hii imetafsiriwa katika lugha 18 duniani. Tafsiri ya Kiswahili imefanywa na hayati Profesa Maganga kutoka toleo la Kiingereza. Inasambazwa kimataifa na African Books Collective.

Swahili translation of Mariama Bâ’s African classic So Long a Letter.

Weight 0.2 kg
Dimensions 200 × 128 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Barua Ndefu Kama Hii”

Your email address will not be published. Required fields are marked *