Mkuki na Nyota kushiriki Maonesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tanzania

Dar es Salaam, Tanzania — Ijumaa, 14 Novemba 2025 MAONESHO YA 32 YA KIMATAIFA YA VITABU TANZANIA KUANZIA TAREHE 21–26 NOVEMBA 2025 Mkuki na Nyota Publishers inapenda kuwajulisha wasomaji wote, wadau wa elimu, utamaduni, na tasnia ya uchapishaji kuwa, tutashiriki…








