Mkuki Na Nyota Publishers

Mara Yangu ya Kwanza: Visa Halisi Maishani

Author(s): balozi, Christopher Liundi, Darfur, hadithi fupi, Kiswahili, Salim Ahmed Salim, TYL, UNESCO

Sh 20,000

Mkusanyiko wa hadithi fupi za visa halisi vya maishani vya Balozi Christopher C. Liundi, Katibu Mkuu wa zamani wa TYL, Balozi wa Tanzania katika nchi nyingi, na Mwakilishi wa UNESCO Rwanda. Hadithi za uchumba kuvuka dini, diplomasia, na upatanishi nchini Darfur na Dkt. Salim Ahmed Salim.

Mkusanyiko wa hadithi fupi za visa halisi vya maishani uliyandikwa na Balozi Christopher C. Liundi. Hadithi zimeunganishwa kwenye mada ya mara ya kwanza, zikifuatia tukio la mhusika kuomba ruhusa ya kumchumbia Rahma Simba: Wewe ndiye Christopher Liundi, unayetaka kumchumbia Rahma Simba? Ndiyo mzee, tumependana. Unajua kuwa Rahma ni Mwislamu? Hivyo hatutaki, hatutaki, hatutaki mtoto wetu aolewe na kafiri? Mimi sio dini, namuoa mtu, hivyo kila mmoja wetu ataendelea na dini yake. Ukitaka kuendelea na kazi, achana na Rahma. Balozi Liundi ana shahada (MA) ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia ya Siasa ya Uchumi na Uandishi wa Habari kutoka London School of Journalism. Ameshika nyadhifa nyingi: Katibu Mkuu wa Vijana (TYL), Mkuu wa Wilaya, Balozi katika Ufaransa, Ureno, Hispania, Algeria, Ethiopia, Djibouti, Eritrea, na Yemen. Pia alikuwa Mwakilishi wa Tanzania katika UNESCO, WTO, OAU, na ECA, na Mwakilishi wa UNESCO Rwanda. Alishiriki upatanishi nchini Darfur na Dkt. Salim Ahmed Salim.

Weight 0.2 kg
Dimensions 197 × 131 mm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mara Yangu ya Kwanza: Visa Halisi Maishani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…