Mkuki Na Nyota Publishers

Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere

Author(s): 1964 Army Mutiny, Julius Nyerere, Kiswahili, Operesheni Magogoni, Peter D.M. Bwimbo, Rashid Kawawa, Tanzania, usalama wa taifa

Sh 15,000

Kumbukumbu za Kiswahili za Peter D. M. Bwimbo, Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere wakati wa maasi ya jeshi ya Januari 1964. Maelezo ya siri ya Operesheni Magogoni iliyomuokoa Rais Nyerere na Makamo wake Rashid Kawawa. Pia historia ya Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi katika Idara ya Usalama wa Taifa.

Kumbukumbu za Peter D. M. Bwimbo, aliyekuwa Mlinzi Mkuu wa Rais Julius Nyerere na Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi. Tarehe 20 Januari 1964, maofisa 15 wa Jeshi la Tanganyika walioongoza maasi ya kijeshi dhidi ya serikali, na kikundi kimoja kilikwenda Ikulu kutaka kumlazimisha Rais Nyerere kukubali matakwa yao. Kwa ujasiri na ubunifu, Bwimbo aliwahamisha Rais Nyerere na Makamo wake Rashid Kawawa, akawapeleka mahali salama. Operesheni hii ikaitwa Operesheni Magogoni. Katika kitabu hiki, Bwimbo anatoa siri ambayo ni wachache sana waliyoifahamu, pamoja na historia ya Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi katika Idara ya Usalama wa Taifa. Bwimbo alipewa Nishani ya Ushupavu (Gallantry Medal) mwaka 1985 kwa ujasiri wake wakati wa Operesheni Magogoni.

Weight 0.5 kg
Dimensions 230 × 150 mm
Binding

Pages

Year published

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere”

Your email address will not be published. Required fields are marked *