Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya Methali za Kiswahili. Kina mambo yafuatayo: Methali mia moja na ishirini na tano za Kiswahili Methali zenyewe zimepangwa kiabjadi Kila Methali imeelezewa maana yake, hekima yake na jinsi inavyotumiwa. Ni kitabu muhimu kwa kila mwalimu na mwanafunzi wa Kiswahili, na kila aipendaye lugha hii.

Weight | 0.01 kg |
---|---|
Binding |
Reviews
There are no reviews yet.