Mkuki Na Nyota Publishers

Uchu

Author(s): A. E. Musiba, Kiswahili, madaraka, mauaji ya kimbari, riwaya ya kusisimua, Rwanda, ujasusi, Willy Gamba

(1 customer review)

Sh 10,000

Riwaya ya kusisimua ya Kiswahili ya A. E. Musiba kutoka mfululizo wa Willy Gamba. Baada ya kufunga ndoa, Willy anatakiwa kurudi kazini na kufuatilia mauaji ya kimbari ya Rwanda, akipambana na usaliti wa kimataifa unaolinda utawala wa mabavu. Viongozi wa Kiafrika wanatafakariwa kwa ukali.

Riwaya ya kusisimua ya Kiswahili ya A. E. Musiba kutoka mfululizo wa Willy Gamba. Baada ya kufunga ndoa na mpenzi wa maisha yake, Willy Gamba anakuwa mtu mpya asiyetaka kujihusisha tena na purukushani zinazoweza kuhatarisha maisha yake na familia yake. Maamuzi yake hayo yanakosa nguvu pale anapolazimika kuwatolea uvivu viongozi wa Kiafrika ambao wametawaliwa na tamaa ya kubaki kwenye madaraka ili wajilimbikizie utajiri, huku Waafrika wakizidi kudidimia katika dimbwi la umaskini na migogoro ya kisiasa. Safari hii Willy Gamba anajikuta Rwanda, akitafuta ukweli wa vipi mamilioni ya wananchi waliuawa na wananchi wenzao huku Afrika na dunia wakiangalia bila kutoa msaada wowote. Uzito wa suala hili unampelekea Willy Gamba kupambana na usaliti na ujahili wa kimataifa ambao uko tayari kuendeleza utawala wa mabavu ili tu maslahi ya watu wachache wenye ubinafsi yaweze kulindwa.

Weight 0.5 kg

1 review for Uchu

  1. Vijana FM

    Fantastic read!

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *