Kitabu hiki kimetayarishwa ili kukidhi mahitaji ya ufundishaji wa Safuri ya Kiswahili katika Shule za Msingi. Pia kitawafaa wanafunzi wa Shule za Sekondari na vilevile wageni wanaojifunza Lugha ya Kiswahili ili waimudu vyema katika kuiandika na kuzungumza. Waandishi ni walimu wenye uzoefu wa kufundisha somo hili na wenye uelewa wa matatizo ya wanafunzi katika kujifunza Safuri ya Kiswahili.
Sarufi ya Kiswahili
Sh 5,000
Weight | 0.1 kg |
---|---|
Binding |
Reviews
There are no reviews yet.