Hii ni hadithi inayochambua jamii ya mjini kwa kina na kuweka bayana matukio na matatizo mbalimbali ya vijana na jamii nzima. Mhusika mkuu katika hadithi hii, Heri, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi anayeona vigumu kuzingatia masomo kwa vishawishi vya mapenzi na kujikuta amebanwa na mahitaji ya mpenzi wake, Pendo, na ukali wa walimu wake na jinsi anavyojitahidi kujikwamua. Baba yake Heri, anamhamasisha kwa kumwambia kuwa jina lake, Heri, lina maana kubwa: Hangaikia Elimu Raha Inakungoja. Ni Hadithi nzuri inayoonya,kufundisha na kuelimisha.
This novel is about city people and particularly the engagement of youth and society in cities. It tells the story of a student in the city who finds himself embroiled in a problematic love relationship that interferes with his education; and shows how he tries to extricate himself.
International availability:
This book is internationally distributed by African Books Collective
Reviews
There are no reviews yet.