Mkuki Na Nyota Publishers

Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru

Sh 30,000

SKU: 978-9987-449-15-6 Categories: , , , , , , Tag:

“Nilipoombwa na Mwandishi wa Kitabu hiki…nilikubali bila kusita kwa sababu nilitambua kwamba maudhui vake vana manufaa makubwa sana kwa taifa let ambalo wat wake wamedhamiria kwa dhati kudumisha uhuru, umoja, haki, usawa, upendo na heshima kwa watu woe.

“Ninampongeza sana Mwandishi wa kitabu hiki, Mzee wetu Balozi Job Lusinde, kwa kutukumbusha sisi viongozi na watanzania kwa ujumla kuhusu wajibu wetu wa kujifunza Historia ya Taifa let na mchango wa waasisi wake kupitia Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru.”

– John Pombe Magufuli

Kuhusu Mwandishi

Balozi Mzee Job Lusinde ni miongoni mwa Viongozi wa kisiasa waliotoa mchango mkubwa sana katika harakati za ujenzi wa taifa la Tanzania na Maendeleo ya watu ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na kuwa Waziri katika baraza la Mawaziri la kwanza mara baada ya Uhuru wa Tanganyika, Balozi Lusinde amewahi kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa Bodi katika mashirika mbalimbali ya umma likiwemo Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Historia na Falsafa ya Mwenge wa Uhuru”

Your email address will not be published. Required fields are marked *