Mkuki Na Nyota Publishers

Misingi Bora ya Kuandaa Miradi wa Mbalimbali

Author(s): Kiswahili, L. J. Mshana, maendeleo, miradi, serikali, ujasiriamali, uongozi, utandawazi

Sh 6,000

Kitabu cha marejeleo cha Kiswahili cha L. J. Mshana kuhusu misingi bora ya kuandaa miradi mbalimbali. Kwa vijana, wajasiriamali, na watendaji wa serikali ngazi zote vijijini hadi taifani. Kinatoa mifumo na hatua za kupanga, kutekeleza, na kusimamia miradi endelevu katika mazingira ya utandawazi.

Kitabu cha marejeleo cha Kiswahili kilichoandikwa na L. J. Mshana. Ili kuhimili mabadiliko yanayoletwa na mchakato wa utandawazi, watu binafsi na jamii kwa ujumla hawana budi kufahamu na kutumia kanuni bora za kuendesha miradi ili kuongeza uzalishaji na tija. Kitabu hiki kimeandikwa kwa makusudi ya kuwasaidia vijana na Watanzania wote kwa ujumla kupata maarifa ya namna bora za kuanzisha miradi endelevu. Ni kitabu ambacho kitawafaa watendaji katika ngazi mbalimbali za Serikali, kuanzia vijijini hadi taifani. Bila shaka, kila mmoja atanufaika na maarifa yaliyomo humu, hasa kwa wale wanaokusudia kuanzisha miradi yao wenyewe na wale wanaosimamia miradi ya jamii. Kitabu kinatoa mifumo na hatua za kupanga, kutekeleza, na kusimamia miradi, pamoja na njia za kupima mafanikio yake.

Weight 0.2 kg
Binding

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Misingi Bora ya Kuandaa Miradi wa Mbalimbali”

Your email address will not be published. Required fields are marked *