Kutoka kwa Mwandishi hodari wa hadithi za watoto na za vijana. Mchta Abeid, hii ni hadithi tamu yenye kuonyesha mapenzi, uvumilvu na mwishowe mafanikio. Mpiga zeze hodari, lakini maskini, anaamua kufanya kila awezalo ili aweze kumwoa Binti Mfalme. Kati ya nia yake na mafanikio kuna nchi ya mbali na yenye watu wa hatari wenye miguu mitatu na uwezo wa kuruka. Hapa nguvu hazifui dafu. Ni akili na bahati kubwa, kwa sababu si wachache waliojaribu. Yeye tu ndiye aliyefanikiwa. Kwa nini? Kwa sababu sauti yake tamu ilimfungulia mlango ambao usingefunguka kwa nguvu yoyote nyingine.
Kisa cha Mpiga Zeze na Binti Mfalme
Sh 5,000
Mehta Abeid
Reviews
There are no reviews yet.