Kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya Uwazi na Ukweli vyenye mkusanyo wa hotuba za kila mwisho wa mwezi za Mheshimiwa Rais Benjamin W. Mkapa, Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995-2005). Rais Mkapa alieleza kwamba tangu mwanzo wa Serikali yake sera yake ilikuwa Uwazi na Ukweli, na aliwaambia viongozi wenzake kwamba ni afadhali achukiwe kwa kuwa mkweli kuliko kupendwa kwa kuwa mwongo. Hotuba zake za kila mwisho wa mwezi kwa wananchi zilikuwa sehemu ya jitihada za kuhakikisha wananchi wanajua Serikali inafanya nini, kwa sababu gani, na kwa faida gani kwao. Serikali inayojiamini, na inayowajibika kwa wananchi, inakuwa wazi kwao. Hotuba hizi ni ufunguo wa uelewa sahihi wa siasa, uchumi, na masuala ya jamii katika nchi yetu katika kipindi hiki cha historia.

Uwazi na Ukweli – 1
Author(s): Awamu ya Tatu, Benjamin W. Mkapa, hotuba, Kiswahili, mwisho wa mwezi, Tanzania, utawala, Uwazi na Ukweli
Sh 7,000
Kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vitano vya Uwazi na Ukweli, vikikusanya hotuba za kila mwisho wa mwezi za Rais Benjamin W. Mkapa wa Awamu ya Tatu (1995-2005). Uongozi wa uwazi, uchumi, siasa, na masuala ya jamii yaliyoshughulikiwa wakati wa kipindi cha Mkapa.
| Weight | 0.4 kg |
|---|---|
| Dimensions | 207 × 145 mm |
| Binding |




Reviews
There are no reviews yet.