Kitabu cha sheria kwa Kiswahili kilichoandikwa na Jaji Barnabas A. Samatta, aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania kutoka 2000 hadi 2007. Kabla ya hapo, 1984-1987, alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zimbabwe. Ni mjumbe mwanzilishi wa Judicial Integrity Group, chombo huru cha kimataifa kinachojishughulisha na ukuzaji wa uadilifu wa mahakama duniani, chombo kilichotunga Kanuni za Bangalore za Mwenendo wa Mahakama. Jaji Samatta ni Mwenyekiti Mwenza wa Bodi ya Kampuni ya Earth, Energy and Environment Mediation Limited yenye makao London, inayoshughulikia njia bora za kutatua migogoro barani Afrika inayohusiana na ardhi, mafuta, madini, maji, na mazingira. Pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe. Katika kitabu hiki anazungumzia uhuru wa mahakama; rushwa; ugumu wa kazi na maisha ya jaji; mikwaruzano baina ya mihimili ya dola; na utumiaji wa kiuonevu wa mamlaka ya dola. Ni kitabu kwa mwanasheria na kwa mlei; kwa mtawala na mtawaliwa; kwa kila mtu.

Uhuru wa Mahakama
Author(s): Bangalore Principles, Barnabas A. Samatta, Jaji Mkuu, Kiswahili, Mzumbe, rushwa, uhuru wa mahakama, usawa wa sheria
Sh 35,000
Kitabu cha sheria cha Jaji Barnabas A. Samatta, Jaji Mkuu wa Tanzania (2000-2007) na mjumbe mwanzilishi wa Judicial Integrity Group. Inazungumzia uhuru wa mahakama, rushwa, ugumu wa kazi ya jaji, mikwaruzano kati ya mihimili ya dola, na mamlaka ya kiuonevu. Kwa mwanasheria na mlei, mtawala na mtawaliwa.
ISBN: 9789987082148
Category: Law
Tags: Bangalore Principles, Barnabas A. Samatta, Jaji Mkuu, Kiswahili, Mzumbe, rushwa, uhuru wa mahakama, usawa wa sheria
| Weight | 0.6 kg |
|---|---|
| Binding |
Be the first to review “Uhuru wa Mahakama”Cancel Reply
Related products
-

Tanzania Tax Law Reports 2003 Volume I (HB)
Sh 180,000 -

Alternative Dispute Resolution in Tanzania
Sh 30,000 -

Environmental Law: A Source Book For Tanzania
Sh 35,000 -

Tanzania Tax Law Reports 2004 Volume I (HB)
Sh 180,000
Reviews
There are no reviews yet.